HabariK24 TvSwahiliVideos

Mawakili wateta EACC na CID yadhulumu washukiwa kwa kuwakamata wikendi

EACC

Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa vita dhidi ya ufisadi vitaendelea licha ya manung’uniko toka tume ya sheria nchini kenya LSK.

LSK imelalamikia mazoea ya washukiwa wa ufisadi kutiwa mbaroni wikendi ikidai hiyo ni njama ya kuwadhulumu na kuwahangaisha washukiwa kabla ya wao kufunguliwa mashtaka.

Mwanahabari wetu Mzalendo Kemboi, amefuatilia matukio hayo  na kukuandalia taarifa hii.

 

 

Show More

Related Articles