HabariK24 TvSwahiliVideos

Naibu Rais William Ruto asisitiza taasisi husika sharti zipambane na ufisadi

William Ruto

Serikali  itaunga mkono taasisi zote kutekelez majukumu yake ipasavyo, haya ni maneno ya naibu  Rais William Ruto , akisisitiza kuwa taasisi hizo zimepewa  jukumu la kulinda mali  ya umma na hazipasiw hazipaswi kuingiliwa kisiasa.

Yanjiri hayo huku sakata ya sukari ikiendelea kuibua hisia mseto kuhusiana na madai kuwa baadhi ya wabunge huenda walihongwa ili kutupilia mbali ripoti ya kamati ya pamoja iliyokuwa ikichunguza sakata ya sukari ya sumu humu nchini.

 

Show More

Related Articles