HabariK24 TvSwahiliVideos

Bomoa bomoa kuendelea jijini, japo hisia mseto kutolewa na  wengi

Visa Oshwal

Zoezi la ubomoaji wa mijengo iliyo kwenye maeneo ya mito na chemichemi za maji ilirejea hii Jumamosi huku sehemu moja ya ukuta katika jengo la Oshwal Centre kubomolewa.

Japo hapo awali haikuwa bayana iwapo litabomolewa.Mwanahabari wetu Shukri Wachu anakutayarishia taarifa hiyo kikamilifu.

 

Show More

Related Articles