HabariK24 TvSwahiliVideos

Mwenyekiti wa tume ya ardhi Mohammad Swazuri na wengine saba wakamatwa

Swazuri

Maafisa kutoka idara ya kupambana na ufisadi wamemtia mbaroni mwenyekiti wa tume ya ardhi Mohammad Swazuri Jumamosi asubuhi.

Swazuri na wengine saba wametiwa mbaroni kufuatia madai ya wizi wa pesa ya umma na ufisadi uliosheheni katika shughuli ya ujenzi wa  reli ya kisasa.

 

Show More

Related Articles