HabariMilele FmSwahili

Wauguzi katika hospitali ya misheni ya Tenwek, Bomet wasitisha mgomo wao

Wauguzi kwenye hospitali ya misheni ya Tenwek, kaunti ya Bomet hatimaye wamesitisha mgomo wao uliodumu siku tatu. Hii ni baada ya hospitali hiyo kukubali kuwapa nyongeza ya mshahara jinsi walivyokuwa wamesaini katika mkataba wao. Katibu mkuu wa kitaifa wa chama cha wauguzi Seth Panyako aidha ameitaka hospitali hiyo kutekeleza mkataba huo kikamilifu.

Show More

Related Articles