HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwanawe Evans Kidero afikishwa kortini

Mwanawe aliyekuwa gavana wa Nairobi Evans Kidero aliyetiwa mbaroni jana kwa shutma za kuuza bidhaa za petroli zisizokuwa  salama kwa matumizi  ameachiliwa kwa  dhamana ya  shilingi elfu mia moja  pesa taslimu  au dhamana ya shilingi laki tatu au mdhamini wa kiasi sawa na hicho.

Hii ni baada ya kufikishwa mahamani hii leo.

Haya yanajiri huku babake akiachiliwa huru baada ya kulipa dhamana ya shilingi milioni mbili baada ya mashtaka ya ufisadi.

Show More

Related Articles