HabariPilipili FmPilipili FM News

Bunge La Seneti Lawekwa Kwenye Mizani.

Bunge la seneti limelaumiwa kwa kuzembea kutoidhinisha baadhi ya miswada muhimu inayopitia bunge hilo.

Akiongea mjini Mombasa kiongozi wa waliowengi katika bunge la kitaifa Aden Duale amelinyooshea kidole cha lawama bunge la seneti kwa kuendelea kutoidhinisha miswada inayopitia bunge hilo na amemtaka spika wa bunge hilo Kenneth Lusaka kuwajibikia swala hilo.

Show More

Related Articles