HabariMilele FmSwahili

Jengo la Nakumatt Ukay mtaani Westlands labomolewa

Jengo la Nakumatt u

Ukay mtaani westlands labomolewa

Ubomozi wa jengo la Ukay mtaani Westlands hapa jijini Nairobi linaendelea wakati huu. Jengo hilo ni miongoni mwa yanayotajwa kuwa katika mkono mto. Hata hivyo mmiliki wa jengo hilo Bimal Shah pamoja na wapangaji tayari wamepinga zoezi hilo wakisema litawaathiri kiuchumi.Hata hivyo serikali kuu na ya kaunti ya Nairobi zimeshikilia kuwa bomo bomoa itaendelea kama ilivyoratibiwa.

Show More

Related Articles