HabariMilele FmSwahili

Mwanawe Evans Kidero, Ronald Kidero kufikishwa mahakamani

Mwanawe aliyekuwa gavana wa Nairobi Evans Kidero,Ronald Kidero anatarajiwa kufikishwa mahakamani asubuhi hii. Ronald alikamatwa jana na polisi saa chache baada ya kuachiliwa babake. Ronald anakisiwa kuendesha biashara ya uuzaji mafuta yasiyokuwa salama kwa matumizi katika vituo kadhaa vya petroli anavyomiliki eneo la Kiambu.

Show More

Related Articles