HabariMilele FmSwahili

Watu 3 waangamia na wengine 12 kujehuriwa kwenye ajali Machakos

Watu watatu wameangamia na wengine 12 kujeruhiwa kwenye ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo eneo la chumvi kaunti ya Machakos.

kamanda wa polisi kaunti hiyo Samuel Mukindia, amesema dereva wa matatu  alijaribu kuyapita magari mengine kabla ya kugoga  trela. Mukindia amewataka madereva kuzingatia sheria za barabarani ili kuepusha ajali.

Show More

Related Articles