HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wabunge waidhinisha ripoti yenye utata baada ya kuirekebisha

Bunge la kitaifa limetupilia mbali mabadiliko yaliyokuwa yamependekezwa kwenye ripoti ya sakata ya sukari yenye sumu yalifoaa kufanyiwa ripoti hiyo kabla ya kuwasilishwa bungeni.

Baadhi ya wabunge wamesema kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kwenye ripoti hiyo unaoonyesha kwamba lazima mawaziri watatu waliotajwa wawekwe hatiani.

Show More

Related Articles