HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Wanahabari wajeruhiwa huku makundi hasimu yakizozana mtaani Njiru

Huku ubomoaji ukiendelea kote jijini na wengi kulazimika kuondoka katika majumba kadhaa yanayodaiwa kuwa karibu na mito na maeneo ya chemichemi, hii leo kumeshuhudiwa kizaazaa katika kipande kimoja cha ardhi eneo la Njiru.

Makabiliano yalizuka pale kundi moja lilifika na maafisa wa polisi likitaka baadhi ya waliokuwa wamejenga kwenye kipande hicho cha ardhi waondoke ili ubomoaji uendelee.

Show More

Related Articles