HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kidero akanusha mashtaka yote ya ufisadi kortini

Aliyekuwa Gavana wa Nairobi Evans Kidero ameachiliwa huru kwa dhamana ya shilingi milioni mbili pesa taslimu au dhamana ya shilingi milioni tano au mdhamini wa shilingi milioni tatu.

Kidero aliyeshtakiwa na wengine sita kwa tuhuma za ufisadi wakati wakiwa maafisa wakuu wa kaunti ya Nairobi wametakiwa kuwasilisha pasipoti zao mahakamani huku wale ambao hawakufika mahakamani wakitakiwa kuripoti katika afisi za tume ya EACC.

Show More

Related Articles