HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wakaazi na wafanyibiashara wajiandaa kuhama wakihofia kubomolewa

Wapangaji kwenye jumba lililosheheni maduka ya Nakumatt Ukay wameanza kuhama kwa hofu kwamba huenda jengo hilo likabomolewa.

Wengi wakisema kuwa hawataki masaibu yanayowafika wapangaji wengine kuwapata.

Baadhi  ya watu waliopokea barua kutoka kwa halmashauri ya mazingira nchini  wameanza kubomoa sehemu walizoagizwa kubomoa.

Show More

Related Articles