HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Rais Kenyatta aagiza walioidhinisha ujenzi kuchukuliwa hatua kali

Rais Uhuru Kenyatta hii leo ameunga mkono shughuli nzima ya ubomoaji wa mijengo iliyo kwenye maeneo ya mito na chemichemi za maji akisema hii ni mojawapo wa mbinu za kukabiliana na ufisadi.

Ubomoaji huo unaendelea licha ya wamiliki wengi kusema kuwa wana vyeti halali kutoka kwa mashirika yanayopaswa kutoa vyeti hivyo.

Show More

Related Articles