HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika: Muathiriwa wa ukimwi anayehamasisha vijana dhidi ya ugonjwa huo

Visa vya maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama mjamzito hadi kwa mtoto bado vipo huku maelfu ya watoto wakiangamia kutokana na utepetevu wa wazazi wanaokosa kupata matibabu na utunzi bora wanapokuwa wajawazito.

Na ndiposa mwanadada mmoja wa miaka 18 aliyezaliwa na virusi hivyo kisha wazazi wake kufariki na kumwacha pweke, ameamua kujitokeza na kuanza kuzungumza na vijana wenzake kuhusu ukimwi ili kuzuia usambazaji wa virusi hivyo haswa kutoka kwa mama hadi kwa mtoto anayezaliwa.

Carol Kakuve kutoka Machakos, anatupambia makala yetu ya wiki hii ya wasiotambulika.

Show More

Related Articles