HabariMilele FmSwahili

Rais Kenyatta: Ubomozi wa majumba yaliyoko katika chemichemi za maji utaendelea

Rais Uhuru Kenyatta amesema ubomozi wa majumba yalioko katika chemichemi za maji utaendelea. Rais amewashtumu wanaoopinga zoezi hilo akisema maafisa walioidhinsha ujenzi wa majumba hayo pia wanafaa kuchukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa jumba la Prism hapa Nairobi, rais ameahidi kumalizwa kabisa ufisadi katika sekta ya ujenzi nchini.

Show More

Related Articles