HabariMilele FmSwahili

Misa ya wafu ya wanafunzi 10 waliofariki katika ajali huko Kitui kufanyika leo

Ibada ya misa ya wafu kwa wanafunzi 10 wa shule ya mabweni ya St Grabriel walioangamiwa katika ajali ya bara barani itaandaliwa leo katika shule ya msingi ya St Joseph’s Junior Seminary Mwingi kaunti ya Kitui. Waziri wa elimu Amina Mohamed Dkt Fred Matiangi wa usalama na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka wanatazamiwa kuhudhuria hafla hii. Wanafunzi hao walikumbana na maafa yao katika eneo la   kanginga baada ya basi la shule kugongana na lori Jumamosi usiku.

Show More

Related Articles