HabariMilele FmSwahili

Jamaa aliyenaswa akishambulia mkewe Makueni ahukumiwa miaka 12 gerezani

Jamaa aliyenaswa kwenye video akimshambulia mkewe huko Makueni amehukumiwa miaka 12 gerezani. Daudi Nzomo alizua shutuma kali nchini kufuatia kanda iliyomwonyesha akimshambulia mkewe Winfred Mwende kusambazwa mitandaoni. Ni hatua iliyopelekea kukamatwa na kushtakiwa kwake kufuatia agizo la mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Hajji.

Show More

Related Articles