HabariPilipili FmPilipili FM News

Mauzaji Mugukaa Walalamika Mombasa.

Hisia mseto zinaendelea kutolewa na wauzaji wa watumizi wa mugukaa eneo la tononoka baada ya serikali ya kaunti ya Mombasa kuvunja vibanda vyao.

Wafanyibiashara hao wanadai kuwa hawana sehemu mbadala ya kuendeleza biashara hiyo.

Hata hivyo chifu wa eneo hilo amesema wafanyibiashara hao wlaikuwa wanendeleza biashara zao kinyume cha sheria akidai kwamba eneo hilo hakuna soko.

Ameiomba serikali ya kaunti ya Mombasa kuiharamisha biashara hiyo.

Show More

Related Articles