HabariPilipili FmPilipili FM News

Joho Afika Mbele Ya Kamati Ya Uhasibu Bungeni.

Gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Joho amefika mbele ya kamati ya uhasibu na uwekezaji katika bunge la seneti kujibu maswali ya ukaguzi katika kaunti yake.

Akijibu baadhi ya maswali ya kamati hiyo, Joho ametetea kaunti ya Mombasa katika masuala ya ukusanyaji wa ushuru, akisema mifumo yote imeimarishwa.

Kamati hiyo imekuwa ikiwaita magavana kujibu maswali ya ukaguzi katika kaunti zao.

Show More

Related Articles