HabariPilipili FmPilipili FM News

Taifa La Aadhimisha Miaka 20 Tangu Shambulizi La Bomu Katika Ubarozi Wa Marekani Hapa Nchini

Kenya inaadhimisha miaka 20 tangu shambulizi la bomu kutokea katika ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Tanzania.

Shambulizi hilo lilitokea mnamo tarehe 7 ya mwezi agosti  mwaka 1998 mwendo wa saa nne na nusu asubuhi ambapo zaidi ya watu 200 walipoteza maisha yao.

Akiongea katika ukumbusho wa mkasa huo , balozi wa Marekani humu nchini Robert Godec amesema tukio hilo lilikuwa baya kuwahi kutokea akipongeza juhudi zilizotolewa za kuwafariji walioathiriwa.

Show More

Related Articles