MichezoMilele FmSwahili

Julias Yego akashifu Nigeria kwa maandalizi duni

Bingwa katika urushaji mkuki Julias Yego amekashifu jinsi taifa la Nigeria lilivyoandaa mashindano ya bara Afrika yaliyokamilika kule Asaba siku ya jumapili .Yego anasema utata wa kusafiri kutoka Lagos hadi Asaba kuliathiri matayarisho yao na pengine wangefanya vyema zaidi .Kando na utata wa usafiri , walilazimika kulala pamoja na pia kutumia taulo moja .

Show More

Related Articles