MichezoMilele FmSwahili

Je, Malkia Strikers watashiriki kombe la Dunia?

Huenda timu ya taifa ya voliboli akina dada Malkia Strikers ikakosa kushiriki makala ya mwaka huu ya kombe la dunia yatakayofanyika kule Asia kufuatia ukosefu wa wachezaji .Nahodha Braxcides Agala alijifungua miezi miwili iliyopita , Ruth Jepng’etich wa Kenya Pipeline pia alijifungua mwezi Mei .Sio  wao tu , Mildred Odwako wa Kenya Pipeline pia ni mja mzito na anatarajia kujifungia hivi karibuni sawia na Esther Mwombe na Elishebah Chepkemboi wote kutoka Kenya Prisons .

 

Show More

Related Articles