MichezoMilele FmSwahili

Wizara ya Michezo yawashukuru wanariadha Waliong’aa Asaba

Wizara ya michezo imewashukuru wanariadha walioiwakilisha kenya kwenye mashindano ya bara afrika yaliyokamilika siku ya jumapili , kwa kuhakikisha kenya inazoa medali nyingi zaidi na kumaliza nambari moja.Akizungumza walipoilaki timu hiyo iliyorejea humu nchini usiku Jumatatu usiku ,  Katibu mkuu katika wizara hiyo peter kirimi kaberia anasema ushindi huo sio muhimu tu kwa familia ya riadha bali taifa nzima .Pia amelishukuru shirikisho la riadha nchini AK kwa mikakati kabambe na kuitayarisha timu hiyo vyema

Show More

Related Articles