HabariMilele FmSwahili

Dereva aliyesababisha maafa ya wanafunzi 11 Mwingi ashtakiwa kwa mauaji

Dereva wa lori lilosababisha maafa ya wanafunzi 11 wa shule ya msingi ya st Gabriels huko Mwingi, amefikishwa mahakamani leo na kushtakiwa kwa mauaji. Abdallah Hassan amekana makosa hayo na kuachiliwa kwa bondi ya shilingi milioni 5 au mdhamini wa kiwango sawa na hicho, au dhamana ya shilingi milioni mbili pesa taslimu. Kesi yake itatajwa tarehe 20 mwezi huu.

Show More

Related Articles