HabariMilele FmSwahili

Kifaru aliyesalia kati ya 11 waliohamishiwa mbuga ya Tsavo Mashariki afariki

Kifaru aliyesalia kati ya kumi na moja waliohamishiwa mbuga ya Tsavo amefariki. Kifaru huyu amekuwa chini ya  uangalizi baada ya kuvamiwa na simba wiki jana. Viafru wengine kumi walikwisha fariki majuma kadhaa baada ya kuhamiswa mbuga hiyo, kwa kile kilichotajwa na waziri wa utalii  Najib Balala kuwa ni kunywa maji nyenye chumvi kali.

Show More

Related Articles