HabariMilele FmSwahili

NEMA yaanza shughuli ya kubomoa majengo yaliyomo katika chemichemi za maji

Mali ya mamilioni ya thamani imeharibiwa katika mtaa wa Kileleshwa Nairobi, ikiwa pamoja na kituo cha mafuta cha shell. Mamlaka ya uhifadhi wa mazingira  NEMA  imeongoza shughuli hiyo, kwa dai majengo hayo yamo kwenye chemichemi ya maji. Mshauri wa masuala ya mazingira katika mamlaka ya NEMA Kivuti Karungi anasema zoezi hilo litaendelea katika maeneo mengine ya jiji.

Show More

Related Articles