HabariMilele FmSwahili

Wafanyikazi wa KNH wasusia kazi kulalamikia marupurupu yao

Wafanyakazi wa hospitali ya kitaifa ya Kenyatta wamesusia kazi leo kulalamikia kutolipwa marupupu yao tangu mwaka wa 2015. Wafanyakazi hao miongoni mwao, wapishi na madereva miongoni mwa wengine waliandamana hapa jijini, wakisema hawatarejea kazini hadi malalamiko yao yatakaposhughulikiwa.

Show More

Related Articles