HabariPilipili FmPilipili FM News

Rais Kenyatta Na Raila Kuzuru Kisumu.

Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wanatarajiwa kuzuru eneo la Nyanza wiki hii ikiwa ni miezi mitano baada ya Handshake.

Viongozi hao wawili wanatarajiwa kuwa katika eneo hilo kwa siku nne na wanatarajiwa kuzuru Kisumu, Homa Bay, Siaya, Migori na Kisii ili kukagua uzinduzi wa miradi ya maendeleo iliyozinduliwa na serikali ikiwemo kundelea na agenda yao ya kuhimiza amani miongoni mwa jamii.

Show More

Related Articles