HabariPilipili FmPilipili FM News

Mogoka Yalemaza Shughli Za Ndoa, Kilifi.

Wanawake katika kaunti ya Kilifi wanapinga uuzaji wa mogokaa kwa kile wanachodai kuwa wanaume wameshindwa kuwajibikia tendo la ndoa.

Mwenyekiti wa muungano wa kilifi mums Kibibi Bakari ,amelitaka bunge la kaunti kupitisha mswada utakao thibiti uuzaji na ulaji wa Mugokaa.

Show More

Related Articles