HabariPilipili FmPilipili FM News

Kijana Aumwa Kwenye Makalio Na Kiboko Huko Magarini Kaunti Ya Kilifi.

Kijana mwenye umi wa mika 17 anauguza majera baada ya kuvamiwa na kiboko na kuumwa kwenye makalio katika eneo la Garashi -Magarini Kaunti ya kilifi.

Chief wa neo hilo Daniel Kithi ,amesema Karisa Safari, aliumwa na Kiboko  alipokuwa akielekea shambani  na Babake, na kujeruhiwa kwenye makalio na Mkononi na kukimbizwa hospitali ya Malindi.

Show More

Related Articles