HabariK24 TvSwahiliVideos

Wanafunzi washiriki ukahaba Korogocho ili kujilipia karo

Ni jambo la kusikitisha wakati mtoto anapolazimika kushiriki ukahaba ili apate pesa za kugharamia kazi yake.

Ziara katika mtaa wa mabanda wa Korogocho imedhihirisha kuwa wanafunzi walio chini ya umri wa miaka 18 hushiriki pakubwa katika biashara hiyo kutokana na ufukara wa wazazi wao.

 

Show More

Related Articles