People Daily

Jamaa aamua kuokoa sima badala ya mali katika ubomoaji, Kilimani

Mpenzi mtazamaji, huenda umeziona picha zilizogonga vichwa vya habari mitandaoni kuhusu jamaa ambaye amebeba mlima wa ugali mabegani.

Wengi wameonekana kufurahia tukio hilo huku wengine wakitaka kujua jamaa mwenyewe ni nani.

Mwanahabari wetu Lenox Sengre alimsaka, na hii hapa taarifa yake.

Show More

Related Articles