HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu:Ubunifu wa wanafunzi shuleni Joyland kusaidia walemavu

Kwa wanafunzi wengi haswa walio na ulemavu, changamoto huwa ni nyingi mno wanapoendelea na masomo na hata kufanikisha maisha yao kutokana na hali ya ulemavu wao.

Wanafunzi wa shule ya upili ya Joyland Kisumu wameweza kubuni njia mwafaka ambayo wanafunzi ambao hawana mikono wanaweza kutumia tarakilishi bila kutatizika.

Show More

Related Articles