HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Zaidi ya wakaazi 5000 waachwa bila makao Kaloleni, Nairobi

Mamia ya familia katika mtaa wa Kaloleni kaunti ya Nairobi zimeachwa bila makao baada ya makaazi yao kubomolewa na mamlaka ya kitaifa ya ujenzi na serikali kuu.

Inasemekana nyumba zao zilijengwa katika sehemu ya ardhi iliyotengewa ujenzi wa reli.

Show More

Related Articles