HabariPilipili FmPilipili FM News

Huduma Bandarini Mombasa Zaimarika, Asema Manduku.

Huduma katika bandari ya Mombasa zimeimarika kufuatia mabadiliko ya uongozi bandarini humo.

Akizungumza na meza yetu ya habari kaimu mkurugenzi wa bandari Daniel Manduku amesema wameboresha upakuaji wa makasha bandarini hivyo basi kuvutia meli kubwa zaidi kuingia katika bandari ya mombasa.

Aidha Manduku amesema uimarishaji huo umechangia pakubwa katika uzalishaji wa ushuru katika bandari hiyo.

Show More

Related Articles