HabariPilipili FmPilipili FM News

Emmerson Mnagagwa Ashinda Uchaguzi Zimbabwe.

Rais Emmerson Mnagagwa ameshinda kura za urais nchini Zimbabwe kulingana na tume ya uchaguzi nchini humo.

Huku matokeo yote ya mikoa kumi ikithibitishwa, mnangagawa ameshinda asilimia 50.8 ya kura zote zilizopigwa huku mpinzani wake Nelson Chamisa akishinda asilimai 44.3.

Wakati ya kutangazwa kwa matokeo hayo polisi walilazimika kuwoanda maafisa wakuu wa upinzani kutoka katika jukwa la kutangaza matokeo hayo baada ya upinzani kupinga matokeo hayo.

Takriban watu sita wameuawa nchini humo kufuatia maandamano siku ya jumatano yaliyofanyw ana upinzani kupinga uchaguzi huo.

Show More

Related Articles