HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Wasiotambulika: Afisa wa polisi Doris huwatunza watoto wa kurandaranda Busia

Maafisa wa polisi wa Utawala wamesifika sana mitaani na vijijini kuwatia mbaroni wahalifu na kuharibu vilabu vya pombe haramu.

Lakini mjini Busia, kuna sura mpya baada ya afisa mmoja kuamua kutumia mda wake wa ziada kuwalisha na kuwapa mawaidha watoto kutoka familia za kurandaranda mitaani.

Doris Wako, humuomba mkubwa wake gari la kituo cha polisi mjini Busia kuwahudumia watoto hao kila jioni anapotoka kazini.

Show More

Related Articles