HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mchujo wa mabalozi: Manoah Esipisu na Sarah Serem watolewa kijasho Bungeni

Kikao cha kuwapiga msasa wakenya walioteuliwa kuhudumu kama mabalozi wa taifa hili katika mataifa mbalimbali hii leo kimeshuhudia hisia mseto bungeni.

Kamati ya bunge kuhusu ulinzi na mashauri ya kigeni ikigusia pakubwa utendakazi wa waliofika mbele yake pamoja na suala kuu la maadili na tajriba ya waliohojiwa.

Show More

Related Articles