HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Daudi Nzomo aliyenaswa kwenye video akimchapa mkewe akamatwa

Polisi kutoka eneo la Makueni hii leo wamemkamata mwanamume mmoja kwa jina Daudi Nzomo ambaye video yake akimpiga mkewe kwa jina Winfred Mwende ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Aidha sasa imeibuka kuwa huenda Nzomo akawa na tatizo la kiakili baada ya jaribio la kujitoa uhai hapo awali na hata kumvamia mamake mzazi.
Hii leo Nzomo anasema hajui ni vipi alijipata akimpiga mkewe kiasi hicho.

Show More

Related Articles