Pilipili FmPilipili FM News

Nancy Macharia Amehojiwa Na Kamati Ya Bunge Kuhusu Elimu.

Afisaa mkuu mtendaji wa TSC Nancy Macharia amefika mbele ya kamati ya elimu bungeni kuhojiwa kuhusiana na athari za uchomaji wa shule kwa shughuli za masomo katika shule zilizoathirika.

Akijibu maswali kwamba uhamisho wa walimu wakuu ndio huchangia visa hivyo shuleni , Macharia amesema uhamisho huo unafanywa kulingana na maslahi ya umma huku akieleza kuwa baadhi ya walimu wakuu wenyewe huomba kuhamishwa kutoka maeneo yao ya nyumbani.

Show More

Related Articles