HabariPilipili FmPilipili FM News

Rais Kenyatta Huenda Akabadili Baraza La Mawaziri.

Rais uhuru Kenyatta huenda akafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri hapo kesho.

Duru za kuaminika zinasema rais analenga kulifanyia baraza lake la mawaziri mabadiliko ili kuhakikisha agenda nne kuu za serikali yake zinatekelezwa kikamilifu.

Mawaziri na makatibu ambao wamehusishwa na ufisadi huenda wakapoteza nyadhifa zao.

Show More

Related Articles