HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Sonko amsimamisha kazi waziri wa afya Hitam Majevda

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amemsimamisha kazi waziri wa  afya Hitam Majevda na mkurugenzi wa afya Nairobi Thomas Ogaro na kuwataka kuelezea katika muda wa siku 14 ni kwa nini huduma za afya jijini ni mbovu.
Sonko amesema kuwa licha ya serikali ya kaunti kulipa shilingi milioni 58 kwa shirika la serikali la kusambaza dawa, waziri huyo amezidi kulaza damu na kuzuru maeneo tofauti duniani kama mtalii .

Show More

Related Articles