HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Tahadhari ya dawa ya Valsartan

Bodi ya famasia na ukaguzi wa ubora wa dawa nchini hii leo imeagiza kusitishwa kwa matumizi ya baadhi ya dawa kwa jina valsartan yanayodaiwa kuwa na chembechembe zinazoweza kusababisha maradhi ya saratani.

Show More

Related Articles