HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mkutano wa wabunge 23 watibuka kuhusu ziara yao ya Ikulu

Mkutano wa wabunge kutoka maeneo ya Magharibi mwa Kenya umetibuka jioni ya leo baada ya baadhi ya wabunge  kutofautiana vikali kuhusu nafasi ya aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga katika kupanga ziara yao ya ikulu juma lijalo.

Taarifa kutoka kwa mkutano huo ambao ulifanyika faraghani katika majengo ya bunge zimearifu kwamba wabunge wa mrengo wa Jubilee wametishia kususia ziara hiyo ya ikulu iwapo itapangwa na kinara wa NASA Raila Odinga, wakishinikiza hizo sio taratibu za chama na wala Odinga sio mmoja wa viongozi wao.

Show More

Related Articles