HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Tetesi zazidi baada ya Ochilo Ayacko kupewa tiketi ya moja kwa moja

Chama cha ODM huenda kikajipata kwenye njia panda kuhusiana na uamuzi wake wa hivi maajuzi wa kumpa tiketi ya moja kwa moja aliyekuwa mbunge wa Rongo Ochilo Ayacko ili awanie kiti cha useneta kwenye uchaguzi mdogo wa useneta Migori mnamo Oktoba tarehe 8.
Anders Ihachi amefuatilia suala hili na hii hapa tathmini inayoashiria kinyang’anyiro cha kukata na shoka kumsaka seneta mpya wa Migori.

Show More

Related Articles