HabariPilipili FmPilipili FM News

Jamaa Wawili Wafamaji Fort Jesus.

Vijana wawili wa kimaasai wamepoteza maisha yao baada ya kuzama kwa maji katika bahari   maeneo ya Fort Jesus mjini Mombasa.

Akidhibitisha haya kamanda wa polisi kutoka kaunti ya Mombasa Johnstone Ipira amesema vijana hao wamefarika mida ya mchana wakiwa wanaogelea.

Aidha amewaomba wakaazi wa Mombasa wasiweze kuogelea baharini kama hawana mazoefu ya kuogelea ikizingatiwa hali ya anga maeneo ya Mombasa bado si shwari.

Show More

Related Articles