HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Eric Aura anajipatia riziki kwa kuuza mchanga kutoka mtoni

Japo alifika shuleni na kusaka elimu Eric Aura alikosa kazi. Lakini licha ya hilo hakufa moyo, aliamua kutumia njia ya kipkee kujipa  riziki.

Yeye hutumia tairi kuogolea katika mto Iguhu eneo la Ikolomani akisaka mchanga wa ujenzi.

Hatimaye, hukusanya na kuuza mchanga huo kwa wateja.

Ni kazi ambayo ameifanya kwa muda na kumpa riziki yake.

Show More

Related Articles