HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Waziri Balala aomba msamaha kwa matamshi ‘Go to hell’ bungeni

Waziri wa Utalii Najib Balala ameomba msamaha kuhusu matamshi yasiyofaa kwa wanaomshinikiza kujiuzulu kutokana na vifo vya vifaru 1o kati ya 11 waliofariki baada ya kuhamishwa kutoka mbuga za Nakuru na Nairobi hadi Tsavo Mashariki.
Mbele ya kamati ya bunge kuhusu mazingira waziri Balala ametaja utepetevu na uzembe baina ya maafisa sita walioachishwa kazi kama sababu kuu iliyochangia mkasa huo.

Show More

Related Articles